Taifa Stars
TIMU YA TAIFA U 23 YAREJEA NA TAJI
KIKOSI cha timu ya taifa chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi kimewasili Tanzania kikitokea nchini Ethiopia ambapo kimetwaa taji la Cecafa.
Ushindi wa penalti 6-5 mbele ya Burundi uliwapa nafasi ya kutwaaa taji hilo.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), Wallace Karia amesema kuwa ni jambo la furaha kwa ushindi waliopata.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.