video

VIDEO: WAZIR JUNIOR ANAAMINI KWAMBA MSIMU UJAO WATAFANYA VIZURI

admin August 2, 2021 6:43 am


MSHAMBULIAJI wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa kwake ni jambo zuri kufunga kwa ajili ya timu yake ambapo alifanya hivyo jana Agosti Mosi mbele ya Big Bullets dk ya 8 kwenye sare ya kufungana bao 1-1.


Pia ameweka wazi kwamba kushiriki Kagame ni jambo kubwa hasa ukizingatia ni mashindano makubwa. Msimu huu ameweka wazi kwamba msimu ujao wanaamini watafanya vizuri.

 

JUVENTUS YASANDA KWA LOCATELLI VIJANA U 23 WANASTAHILI PONGEZI, WASIPOTEZWE KATIKA RAMANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply