video
VIDEO: TFF YAFUNGUKIA KUHUSU NAMNA WANAVYOFUATILIA KWA UKARIBU KUHUSU MDAMU
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema kuwa kutokana na matokeo ambayo wanayapata kwa timu za vijana wanaona mwaga hasa kwa upande wa mpira.
Pia ameweka wazi kuwa TFF inashiriki kwa ukaribu kufuatilia afya ya Gerlad Mdamu ambaye alipata ajali akiwa na timu yake ya Polisi Tanzania. Kwa sasa Mdamu yupo Hospitali ya Muhimbili akiendelea kupewa matibabu baada ya kuvunjika miguu yote miwili.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.