Yanga SC

BREAKING:YANGA YAMTAMBULISHA KIPA MWINGINE TENA

admin August 10, 2021 9:43 pm


UONGOZI wa Yanga umemtambulisha nyota mpya leo Agosti 10,2021 ambaye ni kipa kutoka Aigel Noir.

Ni Erick Johola ambaye ni raia wa Tanzania na alionekana na Yanga katika siku ya Mwananchi.

Nyota huyo anakuwa ni kipa namba mbili baada ya kipa namba moja Diarra Djigui kutambulishwa ndani ya kikosi hicho na ni dili la miaka miwili ambalo amesaini.

Anakuja kuchukua nafasi ya Farouk Shikalo ambaye dili lake limeisha sawa na Metacha Mnata ambapo makipa hawa wote wawili hawajaongezewa kandarasi mpya.

ISHU YA LUIS NA CHAMA KUTAKIWA NA TIMU ZA NNJE, HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA SC RASMI, MESSI MALI YA PSG, AKABIDHIWA JEZI NO 30

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply