news

HERI YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI, ERIC SHIGONGO

admin August 10, 2021 5:43 pm


 LEO Agosti 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa,  Eric James Shigongo, ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

 

Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, wanamtakia heri ya kuzaliwa ndugu Eric mpambanaji wa muda wote.

 

 Mchango wako ni mkubwa  kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

VIDEO: DILI LA LUIS MIQUISSONE KUIBUKIA AL AHLY LAGONGA MWAMBA YANGA WAMTUPIA VIRAGO PACHA WA LUIS MIQUISSONE..NI YULE ALIYEKUJA KWA MBWEMBWE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply