Simba SC

BANDA AINGIA ANGA ZA WANAOLIPWA MKWANJA MREFU BONGO

admin August 11, 2021 2:43 pm


 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Peter Banda anaigia kwenye rekodi ya nyota wanaokomba mshahara mrefu kwa mwezi kwa wachezaji.

Bei yake inatajwa kuwa kwa mwezi anavuta shilingi dola 5000 zaidi ya shilingi milioni 11.

Huyo ni ingizo jipya kutoka Big Bullets ya Malawi awali alikuwa anatajwa kuingia anga za Yanga ila ghafla mambo yalibadilika akaibukia ndani ya Simba.

Ni miongoni mwa nyota wapya ambao wamejumuika na Simba kwenye msafara ulioelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi ya msimu mpya wa 2021/22.


WAKATI KISINDA AKISEPA .., YANGA WAAMUA KUSHUSHA KIBERENGE HIKI KINGINE HATARI ZAIDI YAKE HUYU HAPA STARIKA MWILI JUMBA ANAYEKUJA KUCHUKUA NAFASI YA KAGERE MSIMBAZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply