kimataifa

VARANE NI MALI YA MANCHESTER UNITED

admin August 14, 2021 12:43 pm


MANCHESTER United imekamilisha usajili wa beki kutoka Real Madrid, Raphael Varane.

Beki huyo amejiunga na United kwa dili la miaka minne litameguka Juni 2025.

Dau lake ni pauni milioni 41 jambo ambalo limewafanya mabosi wake wa zamani Real Madrid kukubali kumuuza nyota huyo.

Nyota huyo mwenye miaka 28 leo anawatazama United wakipambana mbele ya Leeds kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambapo nyota mpya Jadon Sancho ameanzia benchi

SIMBA KUTEKETEZA ZAIDI YA MILIONI 200 HUKO MOROCCO, MCHANGANUO UKO HIVI… MDOGO WA SADIO MANE ATUA MSIMBAZI KURITHI VIATU VYA LUIS MIQUISSONE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply