Simba SC

EXCLUSIVE:MEDDIE KAGERE AFUNGUKIA ISHU YAKE KUITWA MZEE

admin August 17, 2021 5:43 am


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa yeye hajali kuhusu wale ambao wanazungumzia umri wake ila kikubwa ambacho anaangalia ni kile ambacho anakifanya. Amesema kuwa kuna nchi ambazo mtu mwenye umri mkubwa kwao ni biashara lakini anashangaa namna ambavyo watu wa hapa wanazungumza sana kuhusu umri.


 Kwa sasa Meddie Kagere yupo nchini Morocco na timu ikiwa imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.

 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE VIDEO:NYOTA WAPYA 10 WA YANGA KOCHA ATOA KAULI, KAZI IPO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply