video

VIDEO: YANGA HAKIELEWEKI MPAKA MAKUNDI, WAANZA KUWAFUATILIA WAPINZANI WAO

admin August 17, 2021 9:43 pm


BAADA ya kikosi cha Yanga kupangwa na timu kutoka Nigeria, Rivers, uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kuona kwamba wanaweza kutinga hatua ya robo fainali. 


Kuhusu timu ambayo wamepangwa nayo Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wanatarajia kufanya vizuri na wataanza kuifuatilia kwa kuwa awali walikuwa hawaijui. Timu inatarajiwa kurejea nchini Agosti 27 kwa ajili ya maandalizi ya wiki ya Mwananchi ikitokea nchini Morocco ambapo imeweka kambi.

 

VIDEO: YANGA NA SIMBA WOTE MOROCCO, WATUMIA GARI MOJA VIDEO: KIKOSI CHA SIMBA KIPYA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply