video

VIDEO: WATAKAOMRITHI CHAMA WANA KAZI, ISHU YA MAKAMBO KURUDI YAZUNGUMZIWA

admin August 19, 2021 10:43 am


MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Tanzania, George Ambangile ameweka wazi kwamba wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Simba na Yanga ambao watakuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Azam FC na Biashara United kwenye Kombe la Shirikisho zina kazi kubwa ya kufanya. 


Pia amechambua kuhusu usajili wa timu hizo namna wachezaji hao watakavyoweza kufanya vizuri kwenye ligi. Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Heritier Makambo wa Yanga, Peter Banda wa Simba. 

 Ambangile ameweka wazi kwamba wale watakaopewa majukumu ya Luis Miquissone na Clatous Chama wana kazi ya kufanya ila hawataweza kuwa kama hao kwa kuwa kila mtu ana kitu chake na kurejea kwa Makambo amesema kuwa ni suala la kusubiri muda ligi itakapoanza. 

 

REKODI ZA MAKIPA WALIOTEMWA MAZIMA YANGA HIZI HAPA TIMU MPYA YA LUIS MIQUISSONE IPO MAJI YA SHINGO KWENYE LIGI..YALILIA MAREFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply