Simba SC

PAPE SAKHO AANZA KWA KASI YA 5G SIMBA …APIGA GOLI LA KIULAYA ULAYA MECHI IKIISHA KWA SARE

admin August 21, 2021 5:40 pm


Kikosi cha Simba leo kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya AS FAR Rabat ya nchini humo na kumaliza kwa sare ya mabao 2-2.

Simba ilipanga kucheza mechi tatu za majaribio katika kambi yao na tayari ya kwanza imemalizika kwa sare huku winga mpya Pape Ousmane Sakho akifungua kibubu cha mabao kwa Wekundu wa Msimbazi.

Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa Simba kuwa nyuma kwa mabao mawili na baada ya kurudi kipindi cha pili Hassan Dilunga alitupia bao moja na Sakho kumalizia la pili.

Rabat inanolewa na aliyekuwa kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck ambaye aliondoka na nafasi yake kuchukua Didier Gomes.

BAADA YA KUTEMWA AS VITA…PILAU NA BIRIAN VYAMRUDISHA TSHISHIMBI BONGO BAADA YA KUITEMA YANGA…WAZIRI JR AFUNGUKA A-Z MAISHA YAKE JANGWANI..AWATAJA VIONGOZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply