news

TANZIA: MRATIBU KMC ATANGULIA MBELE ZA HAKI

admin August 22, 2021 4:43 am


TANZIA

TAARIFA iliyotufikia hivi punde ni kutoka KMC, Coordinator   (Mratibu) wa timu hiyo Joshua Julius ametangulia mbele za haki.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala.

Poleni wanafamilia ya KMC, poleni familia ya michezo,  pole kwa ndugu jamaa na marafiki….

Pumzika kwa amani Julius, mwendo umeumaliza….

SIKU CHACHE BAADA YA KUITEMA YANGA..WAZIRI Jr AGOMBANIWA NA TIMU NNE GOMES: TUTAIMARIKA ZAIDI,TUTAKUWA TOFAUTI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply