kimataifa

DUH1 LUNINI ATUMIA MIAKA MITATU KUHCEZA MECHI MBILI

admin August 25, 2021 3:43 am


 IMEBAINIKA kwamba kipa wa Real Madrid, Andriy Lunini amecheza mechi mbili katika miaka mitatu ambayo ameitumikia ndani ya timu hiyo inayoshiriki La Liga.

Katika mechi hizo mbili ni masaa mawili pekee ameyatumia kucheza jambo ambalo linamaanisha kwamba nafasi yake ndani ya kikosi hicho ni finyu.

Alijiunga na Madrid mwaka 2018 hivyo mpaka sasa ikiwa ni 2021 ameyeyusha miaka mitatu ndani ya timu hiyo.

Katika mechi hizo ambazo ni mbili alikwama kufanya vizuri ambapo moja alishuhudia kikosi hicho kikiondoshwa kwenye michuano ya Copa del Rey.

Mkataba wa kipa huyo unatarajiwa kumeguka mwaka 2024.

VIDEO: HAJI MANARA, NAIPENDA YANGA, NITAFANYA KAZI ZAIDI YA PUNDA MWENYE NJAA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply