video

VIDEO: HAJI MANARA, NAIPENDA YANGA, NITAFANYA KAZI ZAIDI YA PUNDA MWENYE NJAA

admin August 24, 2021 7:43 pm

BAADA ya kutambulishwa kuwa miongoni mwa Wanachama wa Yanga,leo Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa yeye ni Yanga na anaipenda timu hiyo huku akiahidi kufanya kazi zaidi ya punda mwenye njaa. 


Kuelekea kwenye Wiki ya Mwananchi amesema kuwa atakachokifanya hakijawahi kutokea.

 

HAJI MANARA:NINAPENDA VIKOMBE, NITAFANYA KAZI YANGA KWA NGUVU ZAIDI DUH1 LUNINI ATUMIA MIAKA MITATU KUHCEZA MECHI MBILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply