Yanga SC

HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA, MANARA AUTAJA KUWA BORA

admin August 25, 2021 10:43 am


 KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wamefanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo fupi ni Haji Manara alikuwa mshika kipaza na kuongoza shughuli nzima ambayo ilihudhuriwa pia na Waandishi wa Habari.

Manara amesema kuwa ni uzi bora kuwahi kutokea ndani ya Afrika Mashariki na kuwaomba mashabiki waweze kuununua uzi huo kwa wingi bila kusahau kujitokeza kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, Agosti 29, Uwanja wa Mkapa.

WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA WAFANYE KAZI, MAANDALIZI MUHIMU GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply