Burudani

KARINGO ASHINDA MKWANJA SportPesa

admin August 27, 2021 5:43 am




PICHANI ni mshindi wa bonasi ya Jackpot Abdallah Ramadhani Korongo mwenye umri wa miaka 29  kutoka Dodoma.

Korongo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,389,751/- za kitanzania baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.

 Kijana huyo Karongo alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot. Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni shilingi 450,150,500.

KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AFUNGUKA MAPYA KUHUSU BILIONI 20 ZA DEWJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply