video

VIDEO: MWAKATALIMO AMPA MAKAVU HAJI MANARA, ATAMBA KUHUSU SIMBA DAY

admin August 27, 2021 7:47 am

SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Mwakatalimo ameweka wazi kwamba Simba inaondoka kwenye ule mfumo wa uendeshaji wa kizamani hivyo inakwenda katika hatua mpya ya mabadiliko.


 Kuhusu Haji Manara kuibukia Yanga akitokea Simba ameweka wazi kwamba viongozi wa Simba wanazidi kufanya kazi bila kubishana na mtu.

 

SIMBA: TUPO IMARA, KAZI INAENDELEA NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply