video

VIDEO: MWAKINYO: NISICHUKULIWE POA, SIPIGANI NA WABEBA MATOFALI

admin August 27, 2021 10:47 am

BONDIA anayefanya vizuri Tanzania na nje ya Tanzania, Hassan Mwakinyo amebainisha kwamba uwezo wake ni mkubwa na alipambana kufika hapo alipo kwa kumpiga bondia mwenye nyota kubwa hivyo atapambana kuilinda nembo hiyo kwa kupigana mapambano makubwa na wapinzani wenye hadhi kubwa. Ameomba pia asichukuliwe poa kwa kuwa hapigani na wabeba matofali. 

 

VIDEO: SIMBA YABAINISHA KUWA NDANI YA YANGA KUNA CHEMBECHEMBE YA SIMBA B SAMATTA NA MSUVA KUJIUNGA WIKIENDI, MAZOEZI YANAENDELEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply