Yanga SC YANGA YARIDHIA KUTOMUONGEZEA MKATABA ANTONIO NUGAZ admin September 1, 2021 3:43 pm ANTONIO Nugaz aliyekuwa Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga na mabosi hawajaamua kumuongezea mkataba mpya. Yanga wametoa shukrani kwa Nugaz. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii:-
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.