video

VIDEO: NJE YA LANGO LA UWANJA WA MKAPA,VARANGATI KIMTINDO

admin September 7, 2021 6:44 pm

TIMU ya taifa ya Tanzania leo Septemba 7 ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Baada ya dakika 90, Stars imeibuka kwa ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Madagascar.


 Nje ya lango la kuingia lile kuu pale uwanjani kulikuwa na ulinzi wa kutosha huku askari wakiwa kazini na walikuwa na varangati la kimtindo na baadhi ya mashabiki ambao walikuwa wanahitaji kuingia. 

Mchezo wa leo haukuruhusu mashabiki kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

 

USAJILI WA YANGA WAMTISHA SHOMARI…AWAKABIDHI UBINGWA WA LIGI KUU MAPEMA… NDEMLA UMELIKUNG’UTA VUMBI, SASA NI WAKATI WAKO KUONYESHA UWEZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply