video

VIDEO:ISHU YA MAYELE,FISTON NA DJUMA YA ITC, MCHEZO UPO NAMNA HII

admin September 8, 2021 12:43 pm


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ishu kubwa itakayowafanya wachezaji wao watatu kukosekana kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United Jumapili ni ishu ya vibali vyao ITC na sio makosa ya Yanga bali ni mvutano ambao ulikuwa kati ya timu zilizokuwa zinawamiliki wachezaji pamoja na uongozi wa Yanga.


 Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa suala hilo lilisababisha Caf kuweza kuzuia vibali vyao kwa kuwa walikuwa nje ya muda jambo ambalo limewafanya waweze kutuma malalamiko yao FIFA.

 

KIM POLSEN ACHEKELEA KUONGOZA KUNDI, HESABU KUBWA KWA MKAPA SIMBA YAPIGA HESABU ZA UBINGWA BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply