video

VIDEO:HAJI MANARA ATUPA DONGO LINGINE KWA SIMBA

admin September 9, 2021 2:43 am

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara ametupa dongo kimtindo kwa mabosi wake wa zamani Simba katika ishu ya kutumia msuli kuwaita mashabiki uwanjani kwa kueleza kuwa mahali alipo kwa sasa hatatumia msuli mwingi ni suala la kukumbushana kidogo tu kwa kuwa alikuwa anaona gere namna watani zao walivyokuwa wakifanya kazi.


 Kabla ya kujiunga na Yanga, Manara alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba. Jumapili Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United na slogan yao inasema, ‘The Return of the Champions,’

 

VIJANA WA SIMBA WALIOIPA TABU AL AHLY WASEPA JUMLAJUMLA FEI TOTO:HAIKUWA KAZI RAHISI, MAPAMBANO YANAENDELEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply