News

FT: YANGA 0-1 RIVERS UNITED…YANGA WATEPETA NYANG’A NYANG’A TAIFA

admin September 12, 2021 3:43 pm

 


UWANJA wa Mkapa

Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali

Kipindi cha kwanza


Yanga 0-0 Rivers United 

Dakika ya 44 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga 

Dakika ya 42 Rivers United wanafanya jaribio ndanibya 18 linalenga nje ya lango

Dakika ya 37 Moloko anapiga kona inaokolewa na Rivers United 

Dakika ya 35 Makambo anapewa huduma ya kwanza 

Dakika ya 30 Yacouba anapiga of target ya pili kwa pasi safi ya Feisal Salum 

Dakika ya 22 Moloko anaotea

Dakika ya 20 Adeyum anapiga faulo inakuwa ni off target 

Dakika ya 19 Fei Toto anachezewa faulo na nyota wa Rivers United 

Dakika ya 17 Mauya anamchezea faulo nahodha wa Rivers United na anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 16 Kibwana anapewa jukumu la kupeleka mashambulizi Rivers United 

Dakika ya 14 Makambo anapeleka kwa Kibwana Shomari 

Dakika ya 12 Yanga wanapiga kona ya pili haileti matunda kwa Yanga 

Dakika ya 10 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga yanaokolewa na Diarra Djigui 

Dakika ya 9 Mauya anapeleka maji Rivers United yanaokolewa

Dakkka ya 7 Yanga wanafanya jaribio linaokolewa na beki

Dakika ya 4 Adeyum anapewa huduma ya kwanza.

Dakika ya 2 Mauya anafanya jaribio halileti matunda kwa Yanga

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA RIVERS UNITED, UWANJA WA MKAPA BAADA YA KUSAJILIWA YANGA NA KUKUTANA NA KOCHA NABI..KIPA MPYA YANGA AFUNGUKA HAYA..ATAJA MAZOEZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply