video

VIDEO:BODI YA LIGI YAFAFANUA KUHUSU MPANGO WA V.A.R BONGO

admin September 12, 2021 11:43 am

IKIWA tayari ratiba ya Ligi Kuu Bara ipo wazi na inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 27 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imeweka wazi kwamba kwa sasa haina mpango wa kuleta V.A.R na badala yake itawekeza kuwawezesha waamuzi kuwa na mawasiliano zaidi ili kuweza kupunguza changamoto za waamuzi wanaposimamia sheria 17 ni Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almas Kasongo ambaye amefafanua mpango kazi ulivyo.  

 

SENZO:TUNAENDA KUIJENGA YANGA MPYA NA IMARA HUYU NDIYE HANS POPE…ALISHAWAHI KUMKOROMEA MANJI KISA SIMBA..ALITAKA KUMPINDUA RAGE UONGOZINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply