Home video HAJI MANARA AFICHUA SIRI KUHUSU IMANI YA HANSPOPE

HAJI MANARA AFICHUA SIRI KUHUSU IMANI YA HANSPOPE

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa Hanspope Zakaria ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba aligomea masuala ya uganga na aliweza kufanikiwa kwa kumuamini Mungu.

 

SOMA NA HII  TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA