video

MASAU BWIRE:SIO SIMBA TU,KILA TIMU HATA YANGA, AZAM FC

admin September 13, 2021 8:43 pm

MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa kuna umuhimu wa Simba kuweka siku maalumu kwa ajili ya kumuenzi Hanspope ambaye ametangulia mbele za haki na alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba. 


Ameweka wazi kuwa kuvaa barakoa ya Simba ni nidhamu kwake kwa kuwa alikuwa na barakoa yake. Suala la kukaribishwa kwenye upande wa viongozi wa Simba ni heshima kwake kutokana na kuwa ni mtu wa kawaida.

 

MZEE DALALI:HANSPOPE NI PENGO KUBWA,MANARA HAYUPO SIMBA HAJI MANARA AFICHUA SIRI KUHUSU IMANI YA HANSPOPE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply