News

YANGA KAMILI KUKWEA PIPA KUWAFUATA RIVERS UNITED

admin September 17, 2021 5:43 pm


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo kinakwea pipa kueleka Nigeria kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Huu ni mchezo wa marudio wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Rivers United baada ya ule mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Yanga 0-1 Rivers United. 

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wanakwenda kufanya kazi kubwa na wataongea na wachezaji ili waweze kupigana kwa jasho jingi.

“Mchezo  utakuwa mgumu lakini tupo tayari kwa kuwa tutakuwa ndani ya ndege binafsi tutazungumza na wachezaji wakapambane kwa jasho jingi,”.

BAADA YA KUIONA YANGA IKICHEZA JUZI..ZAHERA AGUNA KISHA AFUNGUKA HAYA… EDO KUMWEMBE : – YANGA WALIPOTEZA MECHI NDANI NA NNJE YA UWANJA…WACHEZAJI WANA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply