video

HIVI NDIVYO TP MAZEMBE WALIVYOTUA BONGO, KESHO KAZINI

admin September 18, 2021 6:43 pm

KLABU ya TP Mazembe ambao ni mabingwa mara tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika leo Septemba 18 wamewasili Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba ambao unatarajiwa kuchezwa kesho Septemba 19, Uwanja wa Mkapa katika tamasha la Simba Day. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa kikosi kazi kwa ajili ya msimu wa 2021/22.

 

WIKI MOJA KABLA YA NGAO YA JAMII..GOMES AITANGAZIA MAAFA YANGA…AWATAJA TP MAZEMBE YANGA MATUMAINI KIBAO KUPINDUA MEZA NIGERIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply