news
YANGA YAKIMBIZA KWA MAPATO YA MLANGONI 2020/21
KATIKA orodha ya timu 20 ambazo zimeongoza kwa kukusanya mapato mengi msimu wa 2020/21 Yanga ni namba moja na inafuatiwa na Simba.
Pia JKT Tanzania ni miongoni mwa timu ambazo zilikusanya mapato mengi na ipo nafasi ya tatu.
Msimu wa 2021/22 itakuwa ndani ya Championship Tanzania baada ya kushuka daraja mazima.
Hii ni kwa timu ambazo zilipngoza kwa mapato ya mlangoni kwa mechi za nyumbani.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.