Ligi Kuu

DODOMA JIJI WAITULIZA RUVU SHOOTING

admin September 28, 2021 1:43 pm


CLEOPHANCE Mkandala, kiungo ndani ya kikosi cha Dodoma Jiji amekuwa wa kwanza kupachika bao ndani ya timu hiyo.

Ni dakika ya 34 nyota huyo amepachika bao la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. 

Ruvu Shooting wametulizwa na Dodoma Jiji leo na kuyeyusha pointi tatu mazima.

Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ukiwa ni wa kwanza kwa timu hizi ndani ya msimu mpya wa 2021/22.

MASHABIKI YANGA V SIMBA KATIKA UBISHI WAO SHABIKI YANGA ACHEKELEA SIMBA KULAZIMISHA SARE NA BIASHARA UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply