video

SIMBA:TUTACHUKUA TAJI MARA 10 MFULULIZO,KUFUNGWA MBELE YA YANGA YAMETA

admin September 28, 2021 4:43 am

SHABIKI wa Simba kutoka Musoma ameweka wazi kuwa kikosi cha Simba kilianza kujiandaa msimu uliopita na walikuwa wanahiaji Ngao ya Jamii ila wakakwama jambo ambalo linawafanya wawekeze nguvu kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na wanahitaji kutwaa mataji miaka 10 hiyo ndiyo heshima kwao.


 Septemba 25, Simba ilinyooshwa kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na kuwafanya wapoteze Ngao ya Jamii.

 

MANCHESTER UNITED MAMBO MAGUMU UNAAMBIWA BAADA YA KULALAMIKIWA NA MASHABIKI..MUGALU AWAJIBU..AWAAMBIA WAACHE UNAFIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply