video

SABABU ZA WACHEZAJI WA YANGA KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR

admin September 29, 2021 4:43 am


LEO Septemba 29, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Kaitaba,Kagera. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari Yanga, Hassan Bumbuli amebainisha kuwa wapo nyota ambao watakosekana katika mchezo wa leo kutokana na sababu mbalimbali. 

 Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na Said Ntibanzokiza, Mapinduzi Balama pamoja na Mukoko Tonombe pia ameweka wazi kwamba wanahitaji ushindi mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa wana rekodi nzuri wakiwa Kaitaba.

 

KOCHA BIASHARA UNITED ABAINISHA WALIKUWA WANAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA SIMBA: HAIKUWA BAHATI YETU,WACHEZAJI WALIPAMBANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply