video

TAZAMA NAMNA KIPA WA BIASHARA UNITED ALIVYOPEWA MKWANJA

admin September 29, 2021 12:43 am

BAADA ya kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetupa kutimiza majukumu yake kwenye mchezo wa jana Septemba 28 dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Karume, Mara alipewa fedha za kutosha kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi.

 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO NYOTA WA BIASHARA UNITED WAFUNGUKA BAADA YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply