video
BIG AWATAKA SIMBA WAWE WAVUMILIVU
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Simba mbele ya Dodoma Jiji, Big amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa wavumilivu kwa kuwa ni mwanzo wa ligi na kuna watu wengi ambao wanaisema Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.