video

TAMBWE AFUNGUKA MALENGO YAKE NDANI YA DTB

admin October 3, 2021 12:43 pm

MSHAMBULIAJI wa DTB Amiss Tambwe amesema kuwa ni furaha kubwa kuona timu hiyo inashinda huku akibainisha kwamba malengo yake ni kuona anafanya vizuri kwa kuwa Ligi Daraja la Kwanza.


 Jana DTB ilishinda mabao 4-1 Uwanja wa Uhuru dhidi ya African Lyon na mabao yote manne ya DTB mfungaji alikuwa ni Tambwe.

 

MBOTTO,TUNAWAOMBEA SIMBA NA WAO WATUOMBEE SENZO:HII NDIYO YANGA AMBAYO TUNAITAKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply