news

YANGA WAKIMBIA MJI…CHANZO HIKI HAPA..NABI ATAJWA

admin October 4, 2021 6:22 pm


Baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Geita Gold kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema timu hiyo itaondoka jijini Dar es salaam kwenda kuweka itaweka kambi Arusha katika muda wa mapumziko kupisha kalenda ya mechi za Fifa.

Nabi amesema muda huo atautumia kurekebisha makosa aliyoyaona katika michezo iliyocheza Yanga kwa hivi karibuni.

โ€œNatambua timu yangu bado haijawa sawa ila nimefurahia ushindi, kwa muda ambao ligi itasimama kupisha kalenda ya Fifa timu haitapumzika bali tutaelekea Arusha kuendelea na maandalizi ya mechi zijazoโ€ anasema kocha Nabi.

Yanga imeshinda mechi zake zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu ambapo mechi ya kwanza walishinda bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na jana wakishinda bao 1-0 dhidi ya Geita Gold.

BAADA YA LIGI KUANZA NA KUONA HALI HALISI…SAKHO NA VARANE WAVUNJA UKIMYA MSIMBAZI MZUNGUKO WA PILI, KIJANA WA MBEYA KWANZA AFUNGA BONGE MOJA YA BAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply