video

GOMES APIGA HESABU KUHUSU WAPINZANI WAKE,MASHABIKI WAMZUNGUKA

admin October 7, 2021 5:43 am

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wanazidi kuimarika taratibu na anaamini kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa watafanya vizuri.


Simba inatarajiwa kucheza na Klabu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana Oktoba 17 ambapo Simba itaanzia ugenini na marudio yanatarajiwa kuwa Oktoba 22.

 Pia ameongeza kuwa hali ya nyota wake Shomari Kapombe inaweza kuwa imara hivi karibuni kwa kuwa wanamuhitaji kwenye mechi ijayo kutokana na ubora wake pamoja na uwezo wa kuongoza kwa sasa anatibu majeraha.

 Kwenye mahojiano ambayo alikuwa akizungumza mbele ya Waanidhi wa Habari Gomes, mashabiki wa Simba wengi walimzonga huku wakihitaji kupiga naye picha.

 

KOCHA MKUU WA SIMBA ASHTUKA JAMBO,ABADILI GIA KWA MTINDO HUU SIMBA YALIA NA ISHU YA VIWANJA KUSHINDWA KUWA RAFIKI KWAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply