video

SHABIKI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA AWEKA WAZI KUWA HAIKUWA BAHATI YETU

admin October 8, 2021 7:43 am

LICHA ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuweza kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Benin ilikuwa ni bahati mbaya kwa wachezaji kwa kuwa walipambana kusaka ushindi ila walikwama.


Kuelekea kwenye mchezo wa marudio ameweka wazi kuwa maandalizi yanahitajika ili timu iweze kushinda. Kwa sasa kwenye kundi J, Stars ipo nafasi ya tatu na ina pointi 4 huku Benin wakiwa ni vinara na pointi zao ni 7.

 

KUMBE! UWEZO WA KABWILI NI MKUBWA KULIKO KIPYA MPYA HUYU HAPA ALIYEMTUNGUA MANULA KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply