news

TWIGA STARS MABINGWA WA COSAFA

admin October 9, 2021 4:43 pm


TIMU ya taifa ya Tanzania ya Wanawake Twiga Stars leo Oktoba 9 imefanikiwa kutwaa taji la COSAFA kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Malawi. 

Twiga Stars imefanikiwa kutwaa taji hilo kwa ushindi wa bao pekee lililopachikwa na nyota wake Enekia Lunyamila.

Iliweza kutinga hatua ya fainali hiyo kwa ushindi wa penati 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Zambia katika nusu fainali iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela. 

Bakari Shime,  Kocha Mkuu wa Twiga Stars amesema kuwa ni furaha ya kila mmoja kuweza kutimiza malengo hayo.

YANGA KUSHUKA UWANJA WA AZAM COMPLEX KESHO AZAM FC TAYARI KWA AJILI YA KUMALIZANA NA WAARABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply