News

MAYELE ATUPIA,YANGA IKIIMALIZA JKU

admin October 10, 2021 6:43 pm

 


KWENYE mchezo wa kirafiki leo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU SC, Uwanja wa Mkapa.

Ni bao la Fiston Mayele ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye alifunga bao hilo dakika ya 42.

Kipindi cha kwanza kilikamilika kwa Yanga kuwa mbele kwa bao hilo ambalo lilidumu mpaka dakika 90 zilipokamilika.

Katika mchezo wa leo kipa Eric Johora alianza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kusajiliwa katika kikosi hicho.

VIUNGO WAWILI WANATAJWA KUSEPA ARSENAL KUREJEA KWA TONOMBE MUKOKO KWAIPA UGUMU YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply