news

MANARA TENAAH…ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU ‘KAMATI KAMATI’ ZA MSHINDO MSOLA..AMTAJA SENZO…

admin November 1, 2021 4:30 pm


MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Manara amewashukuru Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk Mshindo Msola kwa kuunda kamati ya Utendaji ambayo inaisapoti timu hiyo kuhakikisha  inafanya vizuri.

Manara amesema kamati hiyo pamoja na kaimu Mtendaji mkuu wao, Senzo Mazingisa wamekuwa wakiwasapoti kwa hali na mali.

“Kamati ya mwenyekiti wetu pamoja na  mtendaji mkuu wamekuwa bega kwa bega kuhakikisha timu inashinda na kweli imekuwa hivyo,” amesema Manara.

Msemaji huyo pia aliwashukuru wafadhili wa klabu hiyo baada ya kuhakikisha timu yao inazidi kuwa imara katika kila idara.

“Wakati Yanga ikiwa inafanya vizuri tujue kabisa kuna wafadhili wetu wakubwa na wengine kwa pamoja wanaiunga mkono kuifanya timu kuwa hivi mnayoiona.”

Manara ameongeza akisema; ”Lazima niwashukuru hawa watu kwasababu wana umuhimu wao”.

ADAM SALAMBA: – NALIPWA MILIONI 161..AFUNGUKA JINSI ALIVYOJIUNGA NA TIMU YA MATAJIRI WA ALGERIA..ATAJA MADEM… GOMES ASEPA BONGO NA JINA LA ‘FEI TOTO’ ….AFUNGUKA  ALIVYOWATAKA SIMBA WAMSAJILI NA MCHONGO ULIVYOKUWA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply