News

SADIO, SAKHO WARUDISHA TABASAMU MSIMBAZI…IVO MAPUMBA AWANYOOSHEA KIDOLE MAKOCHA SIMBA..

admin November 13, 2021 6:00 am


KUREJEA mazoezini kwa nyota wawili Pape Sakho na Sadio Kanoute kutamfanya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco kuwajua mastaa wake katika majukumu yake mapya.

Sadio na Pape walipata majeraha katika michezo ya Ligi Kuu Bara wamerejea kuendelea na majukumu baada ya kusumbuliwa na majeraha hivi karibuni.

Wachezaji wengine Thadeo Lwanga amepewa uangalizi maalum wiki mbili, Sadio Kanote na Pape Sakho waliumia goti huku Chris Mugalu anayesumbuliwa na nyama za paja akiendelea na matibabu.

Hitimana Thiery, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa nyota hao kurejea uwanjani ni faraja kubwa kwake na kocha mkuu Pablo Franco atapata nafasi ya kuwaona. “Ameingia tayari na jioni ya leo (jana) atapata nafasi ya kusalimiana na wachezaji kabla ya kuanza majukumu yake kesho,”alisema.

Mchezaji wa zamani wa Simba, Ivo Mapunda alisema benchi la ufundi la Simba ni zuri hivyo ni wajibu wa wachezaji kufanyia kazi kile ambacho wanafundishwa.

BAADA YA KUISHUHUDIA STARS WAKIFUNGWA NA CONGO…KOCHA MPYA SIMBA AFUNGUKA HAYA..ATAJA UBOVU… AZAM FC HAKUNA KUPOTEZA MUDA..MAMBO NI ‘MPERA MPERA’..MWENDO WA KIJESHI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply