News

BAADA YA KUONA ‘GOZIGOZI’ NYINGI….AZAM FC WAAMUA MAAMUZI MAGUMU SAKATA LA ‘SURE BOY’ KUTUA YANGA…

admin December 22, 2021 4:00 pm


KLABU ya Azam imemruhusu kwa moyo mmoja Kiungo wa Timu hiyo, Salum Abubakary ‘Sure Boy’ kuondoka kwenye klabu hiyo baada ya mchezaji huyo kugoma kuendelea kuwatumikia matajiri hao wa Dar es Salaam.

“Kuruhusiwa kwa SureBoy kuachana na Azam bila ya vikwazo si hasira ila ni hekima kutokana na huduma ya muda mrefu ya mchezaji huyo,” amesema Nassor Idrissa, Mwenyekiti Azam FC.

Haya yanajiri ikiwa ni siku chache baada ya Azam FC kuwarejesha Kikosini nyota wake watatu Aggrey Morris, Mudathir Yahya na Sure Boy waliokuwa wamesimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.

Nyota huyo anahusishwa kujiunga na miamba ya Jangwani Yanga SC na kwamba tayari ameshasaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wananchi wa Jangwani.

KISA DIARRA..YANGA YAMVUTIA KASI MAKAKA WA RUVU SHOOTING…MPANGO MZIMA UKO HIVI.. PAMOJA NA KUTOPOTEZA MECHI YOYOTE…YANGA WAKUSUDIA KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU..MWANYETO ATAJWA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply