News

YANGA WASHUSHA VIFAA VIPYA VITATU..NKANE KAMA KAWAIDA…APEWA MITATU…

admin January 2, 2022 7:05 am


WINGA Dennis Nkane aliyekuwa akikipiga ndani ya Biashara United sasa ni rasmi atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga.

Nyota anakuwa wa tatu kutambulishwa rasmi ndanj ya Yanga baada ya Sure Boy na Aboutwalib Mshery kutambulishwa.

Ni zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Yanga kwa kuwa alitambukishwa Januari Mosi 2022.

Dili lake ni la miaka mitatu kwa ajili ya kuitumikoa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

HITIMANA AZIDI KUFICHUA YA SIMBA…AFUNGUKA KUHUSU MASLAHI YAKE..AMKANA GOMES..AMTAJA PABLO… KISA KUKWEPA HUJUMA ZA  SIMBA..YANGA WALIMWA FAINI YA KUFA MTU NA BODI YA LIGI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply