news

BAADA YA SIMBA KUWEKEA NGUMU KUMSAJILI..MNIGERIA AVUNJA UKIMYA..AANIKA YALIYOJIRI…

admin January 16, 2022 11:00 am

 


KIUNGO Mnigeria, Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki moja.

Udoh akiwa kwenye majaribio hayo, alifanikiwa kucheza mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lakini ameshindwa kumshawishi Kocha Pablo Franco.

Akizungumza na kunukuliwa na gazeti la  Spoti Xtra, kiungo huyo mkabaji, alisema licha ya kutarajia kupewa makataba na timu hiyo, lakini hajafanikiwa na kwa sasa kitu ambacho anatarajia ni mipango ya safari yake kutoka Tanzania kurudi kwao Nigeria.

β€œMaisha ya Tanzania ni mazuri na nimeyapenda sana, ndani ya Simba nimekaa vizuri kuanzia kambini hadi kwenye mechi.

β€œKuhusu kupewa mkataba na Simba hapana,hakuna maisha mengine tena ndani ya Simba.

β€œKwa sasa naangalia mipango yangu ya kuondoka Tanzania kurudi nyumbani Nigeria na leo (jana) Jumamosi naenda kupima vipimo vya Corona, kisha nitaondoka,” alisema mchezaji huyo.

UNAAMBIWA HII SIMBA YA MO DEWJI NI BALAA..WALITAKA KUMPA MSUVA MIL 229..ISHU NZIMA ILIKUWA HIVI… YANGA KUWAFANYIA SAPRAIZI MASHABIKI ZAO LEO…CHICO, KOCHA WA SIMBA WATAJWA KUTAMBULISHWA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply