news

EHEE…KUMBE ISHU YA MUKOKO KUTUA MAZEMBE ILIKUWA HIVI BANA…MAKUBWA YAFICHUKA..ALIGOMA…

admin January 25, 2022 6:00 am


Nahodha msaidizi wa Yanga, Mukoko Tonombe ameondoka rasmi ndani ya viunga hivyo baada ya kusaini miaka miwili TP Mazembe.

Kiungo huyo ametua kwa matajiri hao wa Congo baada ya kuhusishwa nao kwa muda mrefu na hatimaye yametimia.

Hapo awali ilisemekana dili la kiungo huyo kwenda Mazembe lilikufa baada ya kugoma kutolewa kwa mkopo katika klabu hiyo na kutaka kuuzwa.

Mabosi wa Yanga tayari walikuwa washakubaliana na mchezaji huyo kwenda Mazembe baada ya kuona hapati nafasi katika kikosi cha kwanza cha Nasreddine Nabi na pia kupata nafasi ya kumleta winga, Chico Ushindi ambaye alitua klabuni hapo akitokea TP Mazembe.

Katika dili la Yanga kumtaka Chico walitaka kumpeleka Mukoko kwa mkopo ili kumpata winga huyo. 

SIMBA INAKWAMA HAPA…BARBARA ALIA YAMEMKUTA..PABLO MUGALU WATOA SULUHISHO… KISA WAWA KUSOTA SANA BENCHI…WADAU WAPAZA SAUTI…WADAI AMERIDHIKA..APEWA ONYO KALI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply