News

BAADA YA MORRISON KUMTAJA KUWA ANAMFUNDISHA LUGHA YENYE MATUSI…MKUDE AIBUKA NA KUMJIBU HAYA…

admin January 30, 2022 5:00 am


Baada mchezaji wa Simba Sc, Bernard Morrison kudai kuwa mchezaji mwenzake Jonas Mkude ndiye amekua akimfundisha Lugha ya Kiswahili chenye matusi, hatimae Mkude amekanusha hilo.

Mkude amekanusha hilo kupitia show ya #LaviDavi ya Wasafi Fm, akijibu moja ya maswali ya mtangazaji @divatheebawse alietaka kujua kama ni kweli au la! Jambo ambalo Mkude amekanusha na kudai Morrison ni mtu mcheshi na alizungumza suala hilo katika hali ya ucheshi tu.

WAKATI SIMBA WAKIJARIBU KUJIPANGA UPYA..UKWELI KUHUSU YANGA KUWA BINGWA MSIMU HUU UKO HIVI… MABOSI SIMBA WAAMUA LIWALO NA LIWE…WAWACHANA WACHEZAJI KWA KUHUJUMU …TRY AGAIN ‘ANG’AKA KINOMA’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply