News

BAADA YA KUKAA MUDA MREFU KIDOGO MOROCCO…KISINDA KAMA CHAMA…AFUNGUKA ISHU YA KURUDI YANGA…

admin February 28, 2022 12:46 pm


MZEE wa spidi 120, Tuisila Kisinda ambaye kwa sasa yupo ndani ya RS Berkane amesema kuwa anaweza kuja kucheza Tanzania tena ikiwa Yanga watahitaji huduma yake.

Kisinda alikuwa anacheza Yanga alijiunga na RS Berkane mwanzoni mwa msimu huu wa 2021/22 na jana alikuwa katika kikosi cha kwanza kilichoshinda mabao 2-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya makundi ambapo Simba ipo kundi D.

Kisinda amesema:”Naongea tu Yanga ni nyumbani kama bosi ananitaka ninarudi kucheza fresh, tutaongea tu fresh.

“Kwenye mpira hapa tunacheza na Tanzania tunaweza kucheza kwenye mpira fresh tu kila kitu kinawezekana,”.

INONGA, BANDA NA KAPOMBE WACHUANA TUZO MCHEZAJI BORA SIMBA…SAKHO ACHUNIWA.. KUHUSU ALIPO CHIKO USHINDI NA UWEZO WAKE UWANJANI..NABI ATOA SABABU NYINGINE….ATANGAZA VITA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply