Habari za michezo

JERRY MURO:- “MANARA SIO MWANAYANGA….HASIRA ZIKIMWISHA ATARUDI ALIKOTOKA…”

admin March 25, 2022 6:30 pm


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi ambaye aliwahi kuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Mhe. Jerry Muro amesema anaamini Haji Manara akipewa muda atafanikiwa japokuwa anaamini si mwanachama halisi wa klabu hiyo.

“Ameanza tumpe muda naamini atafanya vizuri kama amekuja kwa nia ya dhati, na kama amekuja kwa hasira itatusaidia kutusogeza na pale hasira itakapoisha huenda akarudi alikotoka”, amesema Mhe. Muro.

“Kila mtu anajua Haji ni do or die mwanachama wa Simba, Haji siyo mwanachama wa Yanga amekuja kutafuta riziki au mkate wake”, ameongeza.

‘MAJAMBOZ’ YA BANGALA NA FARIDI YAMUIBUA KAZE…AFUNGUKA ‘WANAVYOICHAKATA’ YANGA… PABLO AWAPIGA MKWARA MASTAA WENYE TABIA ZA POPO…SIMBA WAIKATAA JEZI YA MAYELE…|MwanaSpoti LEO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply