Habari za michezo

BREAKING….MASTAA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS…SABABU HIZI HAPA…

admin March 27, 2022 3:00 pm


Wachezaji wa Klabu ya Simba SC waliokuwa Kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania wamepewa ruksa ya kuondoka kambini hapo na kurejea Klabuni Simba SC na hii leo wataingia kambini pamoja na wenzao ambao hawakuitwa Kwenye Timu zao za Taifa.

Uongozi wa Simba SC uliwaombea ruhusa Wachezaji wao wote walioitwa Kwenye Timu zao za Taifa ambao Ni Peter Banda,Aishi Manula,Mohamed Hussein,Shomary Kapombe,Kibu Denis,Mzamiru Yassin na Jonas Mkude kwaajili ya kupata mda zaidi wa kujiandaa na Mchezo wa mwisho wa Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi dhidi ya US Gendermarie.

Mchezo huo utachezwa Jumapili ya April 3,2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuanzia saa moja kamili usiku.

RASMI…INJINIA HERSI AFUNGUKA ISHU YA KUMSAJILI AZIZ KI YANGA…ADAI YANGA HAIKURUPUKI… WAKATI YANGA WAKIIWAZA MECHI YA SIMBA…NABI AWAPOTEZEA MAZIMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply